Maandamano, sheria inasemaje?

Maandamano, sheria inasemaje?

Rjohn

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2012
Posts
613
Reaction score
128
Ndugu wadau habari zenu nyote;
before nilikuwa sifahamu kabisa kuhusu nini watu hususani chama chakisiasa wanatakiwa kufanya
nilichofahamu nilazima wapate kibali cha polisi ambacho wangekitoa baada ya wao kuridhika nawanachokiamini ikiwa nipamoja na mazingira kwa maana ya wapi wangezunguka katika maandamano yao aman nk
leo kupitia kongamano la aman wataalam wametoa mwangaza kuwa kuandamana HAKUMUHITAJI MTU KUOMBA KIBALI MAHALA POPOTE bali KUTOA TAARIFA MASAA 24 KABLA katika kituo cha polisi nakuomba ulinzi. by the way kama nikutoa taarifa haijalishi kama polisi watajibu ama hawatajibu yakishafika masaa 24 tangu taarifa ipelekwe maandamano/mkutano unatakiwa uanze nakuendelea
Binafsi nimefurahi kufunguka macho hasa katika hilo bip up wasomi wetu mlio wengi mnafanya vizuri
Mungu awabariki;
 
Back
Top Bottom