Maandamano Uingereza kushinikiza Museven kumuachia Bob Wine

Trump ana akili sana, atajifanya kumtaka mu7 ang'atuke ili kiongozi wa malaika apanue domo lake aje akipate cha mtema kuni, na mu7 alivyo na ukaribu na kiongozi wa malaika, sidhani kama jiwe atakaa kimya
 
Museveni asome alama za nyakati asigombee tena aondoke na heshima iliobakia

Sent using Jamii Forums mobile app
Viongozi wanaofanya mambo ya hovyo ikiwa ni pamoja na vitendo viovu ni waoga sana kuachia madaraka kwakuwa hawawaamini hata watu wao ndani ya vyama vyao.

Angalia viongozi wote wa kiafrika wanaotaka kufia madarakani uone walivyo na rekodi mbaya.
 
Trump ana akili sana, atajifanya kumtaka mu7 ang'atuke ili kiongozi wa malaika apanue domo lake aje akipate cha mtema kuni, na mu7 alivyo na ukaribu na kiongozi wa malaika, sidhani kama jiwe atakaa kimya
Atafanya nini? Yeye anatamba huko ndani tu,nje hapawezi.
 
Viongozi wanaofanya mambo ya hovyo ikiwa ni pamoja na vitendo viovu ni waoga sana kuachia madaraka kwakuwa hawawaamini hata watu wao ndani ya vyama vyao.

Angalia viongozi wote wa kiafrika wanaotaka kufia madarakani uone walivyo na rekodi mbaya.
Sababu wameishi vibaya na jamii hivo uogopa visasi,ikiwemo jela ,maana wana maadui wengi kuliko marafiki.Yeyote aingiae atamwacha Salama, hivo wanaona heri wafie madarakani si kwamba wanapenda sana kuongoza,wanahofia usalama wao,Mugabe wamemuacha sababu ashafika saa 12 jioni muda wowote atarudi kwa Muumba wake kulipwa kulingana na uovu aliowafanyia wanadamu wengine, zaid afanye tu toba kama Iddi Amini.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom