Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maandamano Kenya ni ajira ya muda mfupi. Watu wanapewa pesa kuandamana.1. Maandamano na Migomo japo vinaweza kwenda pamoja ila mara nyingi Migomo huleta suluhisho la haraka na mara nyingi Positive kuliko Maandamano.
2. Eg. Migomo ya marubani Kenya airways, Madaktari, Wahadhiri Vs Maandamano ya Gen Z.