Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Leo yamefanyika maandamano makubwa kwenye nyumba nazoishi lengo ni kumbadilisha jirani yetu ambae huwa anapenda kujianika kibarazani kwake uchi(nusu utupu).
Mange wa nyumba zetu hapa(mke wangu) naambiwa ndio mastermind wa haya maandamano kawakusanya wenzake ambao pia wanaishi na wenza wao na kuhamua kufanya maandamano hadi mlangoni kwa huyu dada kumsihi anavyofanya sio poa kwani wanaume zao(sisi) huwa tunashinda vibarazani kumkodolea macho ya kumtamani.
Nimechukizwa sana na kitendo kilichofanywa na mke wangu pamoja na wenzie kwani wameingilia uhuru wa mtu na hawamchangii kodi anahaki yakuvaa atakavyo, binafsi wanaume wa hapa hatujaona tatizo la dada huyu na hakuna ubaya wakuacha maungo yake kupunga upepo na kustawi barabara.
Leo kavaa tudude flani hivi twa pink ndani nitajitahidi mpate picha ili na nyie muone sababu za wenza wetu hapa kufume na kutaka kumpasua dada wa watu.
Sent using Jamii Forums mobile app