Pre GE2025 Maandamano ya amani yanazuiwa Tanzania?

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Poppy Hatonn

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2021
Posts
3,095
Reaction score
4,632
Hakuna sababu ya kuzuia political activity. Vijana wanalia, literally,kwa sababu wananyimwa haki zao za kikatiba. Msajili wa vyama badala ya kufacilitate political activity,yeye anataka kuizuia. CCM always kilikuwa Chama compassionate, lakini sasa kinakuwa Chama cha ukatili.

Halafu EU au someone else watakwambia wacha hayo mambo,utawaambia mind your own business. Kama unadhani lipo tatizo,basi mambo yajadiliwe,kuondoa rough edges. Treatment ya Wapinzani inakuwa mbaya sana. It is your task to train the next generation.

Tell the youths what you want them to do,and what you don't want them to do You are criminalizing what should not be criminalized. Umemsikia Kamala Harris anasema,"Sikiliza wewe,mimi nilikuwa Attorney General wa California. I know what is a criminal. Undocumented immigrants are not criminals."

Pia soma:Kuelekea 2025 - Jeshi la Polisi lapiga marufuku mkutano wa BAVICHA siku ya vijana duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…