sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
TAZAMA VIDEO HAPA
Ni siku ambayo media ilileta taharuki kwa kuijazia chumvi habari ya Mwafrika kuuwawa na mapolisi kitu kilichopelekea Wafanya biashara kuingia hasara kwa kuvamiwa maduka , Watu wengi kuuawa, watu wengi kuwa vilema, Mindombinu kuharibika, Nembo za taifa kama masananu kuharibiwa, Mali za watu kuharibiwa
George floyd aliuliwa May lakini cha ajabu ni kwamba hii video imetolewa baada ya miezi mitatu huko August
Pia kwa kuonesha hii video hawataki ifike mbali ni mara nyingi ukitaka kuiangalia linatokea bango kubwa la onyo kuhakikisha kuiangalia na usipokua ume login tofauti na video nyingine za floyd ambazo unaweza kuangalia bila retiction
Hio video hapo juu ya tukio zima liliotokea ilibanwa maksudi ili isifkie watu wengi katika kipindi cha maandamano kwasababu Main stream media iliogopa itapooza vurugu na maandamano
Camera zinazowekwa vifuani mwa polisi huenda ndio chanzo kinachobidi kiamike zaidi kuliko story za media
Media haikuzungumzia kwa kina kwamba huyu mtu alifanya uhalifu wa kutumia noti feki, alikuwa haonyeshi ushirikiano kukwa chini ya ulinzi, madaktari walifanya kila jitihana kumuokoa, n.k