Maandamano ya Dar Young African (Yanga Yakanusha)

Status
Not open for further replies.

Godee jr

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2012
Posts
1,836
Reaction score
2,536
Ndugu zetu sisi tukiwa tunaelekea Misri wao wako wanaelekea kwenye maandamano

Kuna tatizo mahali linatakiwa kuangaliwa dhidi ya Hawa ndugu zetu
 
Naona wameanza kumjaribu Rais. Ingekuwa ni enzi za yule mzee sidhani hata kama wangethubutu kuandika hiyo barua.

Wao walichotakiwa ni kuthibitisha zile kauli za Mwakalebela, kwa kupeleka ushahidi wa kila alichokisema kwenye ile press conference yao.
 
Mbona njia za kuwasilisha malalamiko zimerahisishwa sana kuliko hiyo ya kukusanya lundo la watu na kuwatembeza barabarani, waandike malalamiko then wamtume mtu apeleke hapo wizarani bado yatafika tu
 
Nami ntakuwepo, haiwezekeni simba iwe ya 13 sisi 74, timu ya kafu wanachagua wachezaji wa simba tu, mchezaji bora wa kafu wanashindanishwa simba tu, kundi anaongoza simba tu, simba wanapendelewa sana hata kombe mwaka huu wanataka watunyang'anye hii haikubaliki. Napata uchungu hakyamungu iiìiiìiiiiiìi
 
Asa waziri atafanya nini?
Hawajui kuwa hahusiki na akinyanyua mdomo wake kuwapelekesha TFF tunapigwa ban?
 
Tff wanakiburi kikavu wanasahau Yanga ni kubwa kuliko Tff. Yanga ndio iliyo tumika kuanzishwa kwa vyama vyote vya michezo apa nchini. Wazee wa Yanga ndio walio tumika kuanzishwa kwa Klabu mbalimbali za michezo na vyama vya michezo ili kupigania Uhuru. Unapo jaribu kui hujumu Yanga nisawa na kujaribu kuihujumu Tanzania yaani unakata tawi ulilo kalia. Ni swala la muda kabla Tff kutambua Vita waliyo ianzisha ni kubwa kiasi gani na hakuna mtu au tahasisi itakayo jaribu kuwasaidia.
 
Hahaha ila wamekata ringi vibaya
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…