Maandamano ya Kenya Dhidi ya Finance Bill 2024, Watanzania Waitamani Kenya

Maandamano ya Kenya Dhidi ya Finance Bill 2024, Watanzania Waitamani Kenya

Stuxnet

JF-Expert Member
Joined
Feb 12, 2011
Posts
13,417
Reaction score
23,310
Siku 3 hizi ambapo maandamno ya vijana wa KENYA yameshamiri kupinga Finance Bill 2024, huku nchini kwetu kwenye social media nimeona kuwa Watanzania wanatamqni na sisi kwetu ingetokea kama Kenya.

Sijui tuna upungufu gani wa maono ila mdharau pazuri, pabaya pana msubiri

PIA SOMA
- Nguvu ya Umma: Bunge lalazimika kubadilisha Muswada wa Sheria ya Fedha baada ya maandamano ya Wananchi

- News Alert: - Yanayojiri Maandamano Kenya: Maandamano yapamba moto, waandamanaji waelekea Ikulu!

Screenshot_20240620_231956_X.jpg
 
Huwajui Vizuri WaTz, ... tu Mahodari sana,sana tu tena Mashupavu kwenye Maandamano nyuma Ya Key board...! Na Kuchonga mdomo kama huyo jamaa wa Chadema na post yake hapo mlivyomweka.

Lkn, Kuja Uhalisia siku ya Maandamano Hutamwona Kiongozi wala followers...! Embu Mtuache kwanza.!
 
Shida nusu ya vijana Tz wanakula kwa Shemeji au Mama zao. Bado somo la njaa na msoto halijaeleweka vizuri.
 
Back
Top Bottom