Maandamano ya kuchukua fomu makamanda wanajitokeza lakini maandamano ya kupinga kuuawa na kitekwa kwa watu makamanda hawaonekani!

GRAMAA

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2014
Posts
1,241
Reaction score
3,800
Ni mambo yakikuda sana wanayofanya makamabda wa CHADEMA.

Eti ebu wewe mwenyewe fikiria.

Mbowe aliitisha maandano ya kupinga kutekwa na kuuawa kwa wananchi ila cha ajabu hakuna kamanda hata mmoja aliyejitokeza wote walichimba docho!

Soma Pia: Mbowe arudisha fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA

Ila leo Mbowe kaitisha maandamano ya kumsindikiza kuchukua fomu makamanda wamejazana kibwena bila hata aibu na vitambi vyao.

Aaaaaaah! Pyuuuuuuuu.
 
wanaogopa kama wewe unavyoogopa kuweka jina lako halisi na identity yako. Au nakosea rafiki?
 
Ni mambo yakikuda sana wanayofanya makamabda wa CHADEMA.

Eti ebu wewe mwenyewe fikiria.

Mbowe aliitisha maandano ya kupinga kutekwa na kuuawa kwa wananchi ila cha ajabu hakuna kamanda hata mmoja aliyejitokeza wote walichimba docho!

Soma Pia: Mbowe arudisha fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA

Ila leo Mbowe kaitisha maandamano ya kumsindikiza kuchukua fomu makamanda wamejazana kibwena bila hata aibu na vitambi vyao.

Aaaaaaah! Pyuuuuuuuu.
wewe ulijitokeza kwenye maandamano/ Fikiria, the brutal government had interest in that maandamano, lazima watu waogope.... haya ya leo haya effect kwa utawala wao...yale yalikuwa tishio kwa madaraka yao. Muwe mnafikri kwa kina kabla ya kuja JF kuandika.
 
Hahahahhaaa sasa kama ndiyo hivyo unawezaje kujiita mwenyekiti wa chama cha upinzani kinachoamini kwenye nguvu ya umma na huna uwezo wa kuushawishi huo umma kufanya maandamano yanayotishia government????!!!!!??????
 
Ni mambo yakikuda sana wanayofanya makamabda wa CHADEMA.

Eti ebu wewe mwenyewe fikiria.

Mbowe aliitisha maandano ya kupinga kutekwa na kuuawa kwa wananchi ila cha ajabu hakuna kamanda hata mmoja aliyejitokeza wote walichimba docho!

Soma Pia: Mbowe arudisha fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA

Ila leo Mbowe kaitisha maandamano ya kumsindikiza kuchukua fomu makamanda wamejazana kibwena bila hata aibu na vitambi vyao.

Aaaaaaah! Pyuuuuuuuu.
CCM iliratibu kila kitu na muigizaji mkuu ndiye Mbowe.

Yana mwisho haya
 
Hahahahhaaa sasa kama ndiyo hivyo unawezaje kujiita mwenyekiti wa chama cha upinzani kinachoamini kwenye nguvu ya umma na huna uwezo wa kuushawishi huo umma kufanya maandamano yanayotishia government????!!!!!??????
Jibu hili hapa including me and you

Jomo Kenyatta alishawai kusema:

"Waganda ni Sawa na Wagonjwa wanaweza kupona muda wowote na wakadai vyao"

"Wakenya ni sawa na walio lala usingizi muda wowote wanaweza kuamka na kudai chao"

"ila Watanzania ni sawa na maiti hawawezi kuamka milele kudai chao" :~ Jomo Kenyatta
 
Attachments

  • KENYATTA.mp4
    3 MB
msanii mbona huwa kama nakuamini kwa reasoning.....umenikata maini
Kwenye hili tumekuwa na block mbili tofauti mkuu wangu.

Unajua katika hizi siasa za upinzani, kuna mkwamo wa makusudi upo na sisi wazee wa groundwork tunafahamu mengi na tunawwletea vipande kila muda unavyoruhusu.

Usikatike maini boss
 
Jibu hili hapa including me and you

Jomo Kenyatta alishawai kusema:

"Waganda ni Sawa na Wagonjwa wanaweza kupona muda wowote na wakadai vyao"

"Wakenya ni sawa na walio lala usingizi muda wowote wanaweza kuamka na kudai chao"

"ila Watanzania ni sawa na maiti hawawezi kuamka milele kudai chao" :~ Jomo Kenyatta
Sasa kama watanzania ni maiti hawawezi kuamka au kufufuka na kudai haki zao sasa chadema kinawezaje kujiita chama kinachotegemea nguvu ya umma!( Nguvu ya maiti)

Mimi nafikiri busara ingekuwa kwamba,kwakuwa watanzania ni maiti basi chadema inapaswa kuwa Askofu Gwajima. Yaani iwe na uwezo wa kufufua maiti kama Gwajima alivyofanya kwa Amina Chifupa. Hahahahaaaaa
 
Kwenye hili tumekuwa na block mbili tofauti mkuu wangu.

Unajua katika hizi siasa za upinzani, kuna mkwamo wa makusudi upo na sisi wazee wa groundwork tunafahamu mengi na tunawwletea vipande kila muda unavyoruhusu.

Usikatike maini boss
Wewe inaonekana utakuwa na kitu kikubwa unakijua juu ya mkwamo wa vyama vya upinzani. Ebu weka kilakitu wazi mkuu ili tujue wengi
 
Sasa kama watanzania ni maiti hawawezi kuamka au kufufuka na kudai haki zao sasa chadema kinawezaje kujiita chama kinachotegemea nguvu ya umma!( Nguvu ya maiti)

Mimi nafikiri busara ingekuwa kwamba,kwakuwa watanzania ni maiti basi chadema inapaswa kuwa Askofu Gwajima. Yaani iwe na uwezo wa kufufua maiti kama Gwajima alivyofanya kwa Amina Chifupa. Hahahahaaaaa
Mimi nasema Kenyatta anavyotuita
 
Back
Top Bottom