wanaogopa kama wewe unavyoogopa kuweka jina lako halisi na identity yako. Au nakosea rafiki?Ni mambo yakikuda sana wanayofanya makamabda wa CHADEMA.
Eti ebu wewe mwenyewe fikiria.
Mbowe aliitisha maandano ya kupinga kutekwa na kuuawa kwa wananchi ila cha ajabu hakuna kamanda hata mmoja aliyejitokeza wote walichimba docho!
Soma Pia: Mbowe arudisha fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA
Ila leo Mbowe kaitisha maandamano ya kumsindikiza kuchukua fomu makamanda wamejazana kibwena bila hata aibu na vitambi vyao.
Aaaaaaah! Pyuuuuuuuu.
Ahahahahaha! Umempiga kwenye mshono! Na kama kweli nae haogopi aweke jina lake halisi hapa au aufyate! Ahahahahaha!!wanaogopa kama wewe unavyoogopa kuweka jina lako halisi na identity yako. Au nakosea rafiki?
wewe ulijitokeza kwenye maandamano/ Fikiria, the brutal government had interest in that maandamano, lazima watu waogope.... haya ya leo haya effect kwa utawala wao...yale yalikuwa tishio kwa madaraka yao. Muwe mnafikri kwa kina kabla ya kuja JF kuandika.Ni mambo yakikuda sana wanayofanya makamabda wa CHADEMA.
Eti ebu wewe mwenyewe fikiria.
Mbowe aliitisha maandano ya kupinga kutekwa na kuuawa kwa wananchi ila cha ajabu hakuna kamanda hata mmoja aliyejitokeza wote walichimba docho!
Soma Pia: Mbowe arudisha fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA
Ila leo Mbowe kaitisha maandamano ya kumsindikiza kuchukua fomu makamanda wamejazana kibwena bila hata aibu na vitambi vyao.
Aaaaaaah! Pyuuuuuuuu.
haya siyo tishio kwa serikali yao............Na polisi wakatalinda,na tbc wakayarusha.
Niko Kampala leo, hivyo si kweli...Nilikuona pale kwenye press ya Mbowe jana mkuu ulikuwa bize sana nikashindwa kukustua.
Hahahahhaaa sasa kama ndiyo hivyo unawezaje kujiita mwenyekiti wa chama cha upinzani kinachoamini kwenye nguvu ya umma na huna uwezo wa kuushawishi huo umma kufanya maandamano yanayotishia government????!!!!!??????wewe ulijitokeza kwenye maandamano/ Fikiria, the brutal government had interest in that maandamano, lazima watu waogope.... haya ya leo haya effect kwa utawala wao...yale yalikuwa tishio kwa madaraka yao. Muwe mnafikri kwa kina kabla ya kuja JF kuandika.
CCM iliratibu kila kitu na muigizaji mkuu ndiye Mbowe.Ni mambo yakikuda sana wanayofanya makamabda wa CHADEMA.
Eti ebu wewe mwenyewe fikiria.
Mbowe aliitisha maandano ya kupinga kutekwa na kuuawa kwa wananchi ila cha ajabu hakuna kamanda hata mmoja aliyejitokeza wote walichimba docho!
Soma Pia: Mbowe arudisha fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA
Ila leo Mbowe kaitisha maandamano ya kumsindikiza kuchukua fomu makamanda wamejazana kibwena bila hata aibu na vitambi vyao.
Aaaaaaah! Pyuuuuuuuu.
Jibu hili hapa including me and youHahahahhaaa sasa kama ndiyo hivyo unawezaje kujiita mwenyekiti wa chama cha upinzani kinachoamini kwenye nguvu ya umma na huna uwezo wa kuushawishi huo umma kufanya maandamano yanayotishia government????!!!!!??????
msanii mbona huwa kama nakuamini kwa reasoning.....umenikata mainiCCM iliratibu kila kitu na muigizaji mkuu ndiye Mbowe.
Yana mwisho haya
how? ukiacha live broadcast what else has TBC done in favour of Mbowe?Toka jana TBC ipo bize sana na matukio ya Mbowe.
Kwenye hili tumekuwa na block mbili tofauti mkuu wangu.msanii mbona huwa kama nakuamini kwa reasoning.....umenikata maini
Fact ni kwamba, jambo hili lina baraka za wenye dolaToka jana TBC ipo bize sana na matukio ya Mbowe.
Sasa kama watanzania ni maiti hawawezi kuamka au kufufuka na kudai haki zao sasa chadema kinawezaje kujiita chama kinachotegemea nguvu ya umma!( Nguvu ya maiti)Jibu hili hapa including me and you
Jomo Kenyatta alishawai kusema:
"Waganda ni Sawa na Wagonjwa wanaweza kupona muda wowote na wakadai vyao"
"Wakenya ni sawa na walio lala usingizi muda wowote wanaweza kuamka na kudai chao"
"ila Watanzania ni sawa na maiti hawawezi kuamka milele kudai chao" :~ Jomo Kenyatta
Wewe inaonekana utakuwa na kitu kikubwa unakijua juu ya mkwamo wa vyama vya upinzani. Ebu weka kilakitu wazi mkuu ili tujue wengiKwenye hili tumekuwa na block mbili tofauti mkuu wangu.
Unajua katika hizi siasa za upinzani, kuna mkwamo wa makusudi upo na sisi wazee wa groundwork tunafahamu mengi na tunawwletea vipande kila muda unavyoruhusu.
Usikatike maini boss
Director alikuwa TBC, baada ya igizo Mbowe akapongezwa sana na CCM wenzie kaigiza vizuriCCM iliratibu kila kitu na muigizaji mkuu ndiye Mbowe.
Yana mwisho haya
Mimi nasema Kenyatta anavyotuitaSasa kama watanzania ni maiti hawawezi kuamka au kufufuka na kudai haki zao sasa chadema kinawezaje kujiita chama kinachotegemea nguvu ya umma!( Nguvu ya maiti)
Mimi nafikiri busara ingekuwa kwamba,kwakuwa watanzania ni maiti basi chadema inapaswa kuwa Askofu Gwajima. Yaani iwe na uwezo wa kufufua maiti kama Gwajima alivyofanya kwa Amina Chifupa. Hahahahaaaaa