Tetesi: Maandamano ya kumpongeza Ramaphosa kufanyika Mazimbu-Morogoro

connections

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2013
Posts
2,190
Reaction score
3,039
Katika kudumisha uhusiano wa Kimataifa wanachama wa Chama cha Mapinduzi tawi la Mazimbu wanakusudia kufanya maandamano ya kumpongeza mgombea wa chama rafiki ANC Kwa kupata kuchaguliwa Tena kuongoza Taifa la Afrika Kusini.

NB:
TAREHE 18 Julai 2024,
SEHEMU NMB wami Branch - Mazimbu Campus,
MUDA Saa 1 asubuhi
MAVAZI T-shirt, kofia, skafu za Chama*

Shime wanachama tujitokeze kwa wingi
 
hatowasaidia, 2025 mnaenda na maji …
 
kusifu na kuabudu
 
Nchi ya wasio na kazi ya kufanya, wanafanya yasiyo na manufaa...madog nyie
 
Vipi maendeleo ya Maandamano?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…