Maandamano ya kuzuia Maandamano

Maandamano ya kuzuia Maandamano

Ngongo

Platinum Member
Joined
Sep 20, 2008
Posts
20,654
Reaction score
35,887
Heshima sana wana jamvi,

Tanganyika ni nchi ya maajabu au ukipenda unaweza kusema nchi ya watu wajinga.

Leo police 🚔 wameandamana kuzuia maandamano ya Chadema.
Lengo kuu la maandamano lilikuwa kuujuza umma juu ya madhila ya utekaji,mauaji na zaidi ushiriki wa vyombo vya usalama katika kuteka na kuua.

Kupitia maandamano ya police wamesaidia kutujuza juu ya ushiriki wao katika kuteka na kupokonya haki za kuishi raia wa Tanganyika.

Ngongo kwasasa Sinza kumekucha.
Tunajipanga zaidi na zaidi.
 
CHURA na watu wake ni dhahiri sasa bila shaka yoyote kuwa ni Wahusika wakuu wa Utekaji, kupotea na mauaji ya raia.
 
Kuna jamaa yangu polisi yupo kwenye doria naona wamoto balaaa. Wameweka mafuta full tank kwenye magari( na madereva wamepata nafasi ya kupiga kwenye mafuta-unawaambia sheli waweke lita 50 ila akupe EFD risiti ya full tank lita zinazobaki akupe hela), posho. Wawashukuru CDM​
 
Heshima sana wana jamvi,

Tanganyika ni nchi ya maajabu au ukipenda unaweza kusema nchi ya watu wajinga.

Leo police 🚔 wameandamana kuzuia maandamano ya Chadema.
Lengo kuu la maandamano lilikuwa kuujuza umma juu ya madhila ya utekaji,mauaji na zaidi ushiriki wa vyombo vya usalama katika kuteka na kuua.

Kupitia maandamano ya police wamesaidia kutujuza juu ya ushiriki wao katika kuteka na kupokonya haki za kuishi raia wa Tanganyika.

Ngongo kwasasa Sinza kumekucha.
Tunajipanga zaidi na zaidi.
Maandamano ya chadema yamefeli watu wameyapotezea. Acheni kutafuta faraja jipangeni kuongeza ushawishi. Tatizo mnaakaa sana mtandaon
 
Heshima sana wana jamvi,

Tanganyika ni nchi ya maajabu au ukipenda unaweza kusema nchi ya watu wajinga.

Leo police 🚔 wameandamana kuzuia maandamano ya Chadema.
Lengo kuu la maandamano lilikuwa kuujuza umma juu ya madhila ya utekaji,mauaji na zaidi ushiriki wa vyombo vya usalama katika kuteka na kuua.

Kupitia maandamano ya police wamesaidia kutujuza juu ya ushiriki wao katika kuteka na kupokonya haki za kuishi raia wa Tanganyika.

Ngongo kwasasa Sinza kumekucha.
Tunajipanga zaidi na zaidi.
Umewaza sawa na mm. Hili lina dhihirisha kuwa wao ndio wahusika kweli labda sina uhakika lkn..?
 
kwa uoga niliouona leo chadema watanyang'anywa kura katika chaguzi zote mchana kweupe huku wanatazama. yaani mwenyekiti wao anachukuliwa na polisi barabarani wanatazama tu.
 
Endelea kuota.
 
Heshima sana wana jamvi,

Tanganyika ni nchi ya maajabu au ukipenda unaweza kusema nchi ya watu wajinga.

Leo police 🚔 wameandamana kuzuia maandamano ya Chadema.
Lengo kuu la maandamano lilikuwa kuujuza umma juu ya madhila ya utekaji,mauaji na zaidi ushiriki wa vyombo vya usalama katika kuteka na kuua.

Kupitia maandamano ya police wamesaidia kutujuza juu ya ushiriki wao katika kuteka na kupokonya haki za kuishi raia wa Tanganyika.

Ngongo kwasasa Sinza kumekucha.
Tunajipanga zaidi na zaidi.
🤣 🤣 🤣
 
Back
Top Bottom