Heshima sana wana jamvi,
Tanganyika ni nchi ya maajabu au ukipenda unaweza kusema nchi ya watu wajinga.
Leo police π wameandamana kuzuia maandamano ya Chadema.
Lengo kuu la maandamano lilikuwa kuujuza umma juu ya madhila ya utekaji,mauaji na zaidi ushiriki wa vyombo vya usalama katika kuteka na kuua.
Kupitia maandamano ya police wamesaidia kutujuza juu ya ushiriki wao katika kuteka na kupokonya haki za kuishi raia wa Tanganyika.
Ngongo kwasasa Sinza kumekucha.
Tunajipanga zaidi na zaidi.
Maandamano ya chadema yamefeli watu wameyapotezea. Acheni kutafuta faraja jipangeni kuongeza ushawishi. Tatizo mnaakaa sana mtandaonHeshima sana wana jamvi,
Tanganyika ni nchi ya maajabu au ukipenda unaweza kusema nchi ya watu wajinga.
Leo police π wameandamana kuzuia maandamano ya Chadema.
Lengo kuu la maandamano lilikuwa kuujuza umma juu ya madhila ya utekaji,mauaji na zaidi ushiriki wa vyombo vya usalama katika kuteka na kuua.
Kupitia maandamano ya police wamesaidia kutujuza juu ya ushiriki wao katika kuteka na kupokonya haki za kuishi raia wa Tanganyika.
Ngongo kwasasa Sinza kumekucha.
Tunajipanga zaidi na zaidi.
Umewaza sawa na mm. Hili lina dhihirisha kuwa wao ndio wahusika kweli labda sina uhakika lkn..?Heshima sana wana jamvi,
Tanganyika ni nchi ya maajabu au ukipenda unaweza kusema nchi ya watu wajinga.
Leo police π wameandamana kuzuia maandamano ya Chadema.
Lengo kuu la maandamano lilikuwa kuujuza umma juu ya madhila ya utekaji,mauaji na zaidi ushiriki wa vyombo vya usalama katika kuteka na kuua.
Kupitia maandamano ya police wamesaidia kutujuza juu ya ushiriki wao katika kuteka na kupokonya haki za kuishi raia wa Tanganyika.
Ngongo kwasasa Sinza kumekucha.
Tunajipanga zaidi na zaidi.
π€£ π€£ π€£Heshima sana wana jamvi,