KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
Wafuasi ghafa walimwamuru asipande gari na waandamane kwa miguu kwenda Escape 1.
Je maandamano yalikua na kibali?
Puuuuumbavu!yeye nani kwanza
punguzeni povu kwani ile tuzo imewakilisha wapi kama si tanzania lazima watanzania tuungane kumpongeza kijana wetu kwa juhudi alizonazo
Yaani hii nchi cjui itaacha lini visa, mm nilidhani mkulu wa nchi anapita maana iyo foleni ilikua ya kufua mtu kumbe nd foleni ya diamondNilishangaa jana mida ya saa nane nikielekea airport, diamond katengeneza foleni upande wa pili. Foleni isiyo na tija...
Rais huwa haombi kibali....Wafuasi ghafa walimwamuru asipande gari na waandamane kwa miguu kwenda Escape 1.
Je maandamano yalikua na kibali?
Tuzo zake familia yake pamoja na ccm na mazombi wasiojijua
Dah! Samahani kwa usumbufu, alikuwa ni Mkulu wa Mijitizo, The National Icon... yeye ndie alikuwa anapita!Yaani hii nchi cjui itaacha lini visa, mm nilidhani mkulu wa nchi anapita maana iyo foleni ilikua ya kufua mtu kumbe nd foleni ya diamond
Kura zenu hazikutosha kumpigia Davido, au ndo mambo ya from 8 mb to 1mb!!!Tuzo zake familia yake pamoja na ccm na mazombi wasiojijua