Maandamano ya "Samia Must Go" yatayeyuka kama yale ya UKUTA

sonofobia

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2015
Posts
1,171
Reaction score
4,295
Kama ilivyotokea kwenye maandamano ya UKUTA vijana wa Mbowe wakafyata mkia.

Pia maandamano ya samia must go hayatafanyika sababu wananchi hawaiungi mkono CHADEMA.

Pia wananchi wanaona hayawahusu wao wakipotelewa na ndugu zao chadema wapo kimya wanatafuna ruzuku amekufa "double agent" wao ndio wanataka watu waende kupigwa risasi.
 
Hivi hua mnapata wapi ujasiri wa kuongea hisia zenu public?

Umefanya research na hizi ndio findings zako au una reference ya hitimisho lako?

Wanaotekwa na kuuawa wanaweza kua wana CHADEMA ila jua wana ndugu ambao sio CHADEMA nao pia wanahitaji justice.
 
Kwa hiyo umekubali kuna wananchi wanapotelewa na ndugu zao eti!!
Ni kweli watu wanapotea na chadema wamekuwa kimya mpaka alipokufa mwenzao ... Sasa raia hawataki kutumika Mbowe aende ikulu
 
Hivi hua mnapata wapi ujasiri wa kuongea hisia zenu public?

Umefanya research na hizi ndio findings zako au una reference ya hitimisho lako?

Wanaotekwa na kuuawa wanaweza kua wana CHADEMA ila jua wana ndugu ambao sio CHADEMA nao pia wanahitaji justice.
Hakuna mtu mwenye akili akaunga mkono jambo lolote la chadema..hao wachaga ni nyokaz
 
Hakuna maandamano siku ya TAREHE 23.
 
Kama ilivyotokea kwenye maandamano ya UKUTA vijana wa Mbowe wakafyata mkia.

Pia maandamano ya samia must go hayatafanyika sababu wananchi hawaiungi mkono CHADEMA.

Pia wananchi wanaona hayawahusu wao wakipotelewa na ndugu zao chadema wapo kimya wanatafuna ruzuku amekufa "double agent" wao ndio wanataka watu waende kupigwa risasi.
Kama yameshayeyuka mbona bi mkubwa wako ka panic tiari.
 
Kama ilivyotokea kwenye maandamano ya UKUTA vijana wa Mbowe wakafyata mkia.

Pia maandamano ya samia must go hayatafanyika sababu wananchi hawaiungi mkono CHADEMA.

Pia wananchi wanaona hayawahusu wao wakipotelewa na ndugu zao chadema wapo kimya wanatafuna ruzuku amekufa "double agent" wao ndio wanataka watu waende kupigwa risasi.
Maandamano ni njia mbadala ya wananchi kupaza sauti zao dhidi ya mauaji ya raia wasio na hatia,kazi mojawapo ya Serikali ni kulinda usalama wa raia na mali zao..lakini deep state iangalie kama kweli hao raia wanaopotea au kupotozwa ni real threat for National security au blaablaa tu..Mimi ni mwumini na mdau wa Amani,isije ikawa Kuna genge limasha take over linafanya uhalifu kuchafua regime iliyopo Sasa..
 
Back
Top Bottom