Maandamano ya South Africa yawe funzo kwa Raila Odinga na wafuasi wake hapa Kenya

ichumu lya

JF-Expert Member
Joined
Aug 11, 2016
Posts
2,651
Reaction score
2,790
Wakenya mnaoandamana kwa vurugu ninyi ni wapumbavu hamstahili kuishi kwenye jamii iliyostaarabika hamuoni uko South Afrika wanaandamana kwa amani?

Wanafikisha madai yao bila matata ninyi mnafanya vurugu na kuwatusi viongozi, ninyi ni wapumbavu, sasa mnatukana makalio na makende ya Ruto kwani matako yatapunguza bei ya unga? Narudia tena ninyi ni wapumbavu.

Your browser is not able to display this video.
Your browser is not able to display this video.
 
Nchi inachawa waliopitiliza mipaka hii Hadi inaboa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…