CHRISTURKER
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 267
- 55
Hii nchi ni kama haina jeshi la Polisi, mtapiga kelele, mtaandamana lakini kwa kuwa mkuu wa Jeshi anajiona ni SHEMEJI na sio IGP atakaa kimya bila kuchukua hatua. Jeshi la polisi limepoteza dira na mwelekeo, polisi wako busy na kukamata bodaboda na sio kulinda usalama wa raia na mali zao.Hili suala la wanafunzi wa vyuo kufanyiwa haya mambo lipo muda mrefu naa taarifa zinatolewa polisi hazifanyiwi kazi mpaka waandamane.Nafikiri wakuu wa kipolisi wa mikoa yenye vyuo vingine waimarishe ulinzi kwa vyuo hivyo wasingoje mpaka wanafunzi waandamane.
Hii nchi ni kama haina jeshi la Polisi, mtapiga kelele, mtaandamana lakini kwa kuwa mkuu wa Jeshi anajiona ni SHEMEJI na sio IGP atakaa kimya bila kuchukua hatua. Jeshi la polisi limepoteza dira na mwelekeo, polisi wako busy na kukamata bodaboda na sio kulinda usalama wa raia na mali zao.
Nchi haitawaliki kabisa,
Huku Arusha kuawanafunzi wa Lema nao wanataka kulianzisha, wanataka
wapeelekwe kwenye shule zingine wakasome,