Maandamano yaliyozinduliwa leo yataambatana na sophisticated Cyber operations

Imagine watu wako ndani hawaruhusiwi kutoka alafu hawawezi kutoka na CCM wao pia hawawezi kutoka na kutumia huduma za mitandao.

#SamiaMustGo
Hakuna aliekatazwa kutoka acheni uzushi
 
Hakuna aliekatazwa kutoka acheni uzushi
Mbona sikuoni kitaa...!!! Halafu tunaambiwa askari wanarudisha watu....Sasa mtu ametoka anaenda sehemu, una mrudisha, arudi wapi Sasa kama si ndani nyumbani Kwake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…