Babu wa Kambo
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 559
- 808
Hiyo Katiba Mpya ndo inawasaidia kuweza ona mapungufu ya Tume la Uchaguzi na Mipaka. Bila Katiba Mpya ingeokena kila kitu iko sawa.yaani wakenya wana katiba mpya lkn malalamiko kila siku, wanataka kutuambia katiba mpya sio dawa ya matatzo katka serikali.
Kaliaga kuwabeza huku wenzio wameshafikia mawazo na ujasiri wa kuikataa tume ya uchaguzi, wewe naamini hujui hata makao yake yalipo!yaani wakenya wana katiba mpya lkn malalamiko kila siku, wanataka kutuambia katiba mpya sio dawa ya matatzo katka serikali.
Ukikua utayaonamimi naona haya mambo ya kuandamana na kwa ajili ya wanasiasa hayana tija , mnaishia kupoteza wote tu...Kenya achaneni na maandamano yataleta machafuko, fanyeni kazi ndio msingi wa maendeleo
mimi naona haya mambo ya kuandamana na kwa ajili ya wanasiasa hayana tija , mnaishia kupoteza wote tu...Kenya achaneni na maandamano yataleta machafuko, fanyeni kazi ndio msingi wa maendeleo
Hapa kwetu sijui kwa sasa kama hilo la kutumia mahakama kupata haki kama litawezekana.Wakenya wanajua kupigania haki zao.
Wametaka kuandamana. Polisi wamewakataza kuandamana kwa sababu ya ujinga wa kibali. Wameenda mahakamani kushitaki na kushinda kesi. Polisi wameamriwa na mahakama kutoa ulinzi.
ukondoo ndio unawaponza wa Tanzania, ubishi nao unawaponza wa KenyaKaliaga kuwabeza huku wenzio wameshafikia mawazo na ujasiri wa kuikataa tume ya uchaguzi, wewe naamini hujui hata makao yake yalipo!
Na katika ubishi wao huu unawawezesha hadi sasa kuwa nchi pekee iliyokamilisha ada zake za EAC. Wenzetu wanaenda mbele sisi hata njia hatujui iliko.