Maandamano yanaendelea Madagascar. Gen Z wamechafukwa

McLaren

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2025
Posts
1,170
Reaction score
3,743
Maelfu ya vijana wamejitokeza tena mitaani katika mji mkuu Antananarivo, wakiendelea kushinikiza serikali kushughulikia ukosefu wa maji, kukatika kwa umeme, na ufisadi. Tizama hali ilivyokuwa wakati wa makabiliano ya polisi na waandamanaji.

Your browser is not able to display this video.
 
Hawa wanajitambua siyo kama bongolalalanders wetu full of gen ziro.
 
Madagascar ni ndugu zetu walitusaidia dawa za corona...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…