MICHUTZ
JF-Expert Member
- Aug 28, 2017
- 271
- 531
Mambo Niajee wakuu, sjawahi post kitu chochote Hapa JF Tangu nimeanza Kuifaham JF Tangu 2012. Turudi kwenye topic hapo Juu. Haya maandamano ya mange kimambi Je Yangekuwa ya kumuunga mkono raisi wangeyakemea kama wanavyokemea sasa hivyi?! Mtukufu raisi anapaniki kwa sababu Gani? Nchi inayumba kiasi ambacho hata mtoto Mdogo anamlaum JPM. Haki yetu kikatiba Iko wapi ya kuandamana? Au jamaa alipaa kwa katiba ya CCM?
*Watanzania Tunaangamia kwa Kupata Raisi ambae Hana maarifa* mange kimambi sasa hivyi anamzidi magufuli kwa umaarufu. Mimi ntaandamana kwenye Kitanda changu Siku ya APRIL 26.
*Watanzania Tunaangamia kwa Kupata Raisi ambae Hana maarifa* mange kimambi sasa hivyi anamzidi magufuli kwa umaarufu. Mimi ntaandamana kwenye Kitanda changu Siku ya APRIL 26.