[emoji23][emoji23] Anatuona sisi maboya huyu dogo .... Kaa ndani dogo tuachie tarehe zetu za kujidai na MangeSasa I'd mbona ya Jan 2017
Upuuzi wa hali ya juu, hasa ukichukuliwa anayehamasisha yukoje..Maandamano dead on arrival, ni kupotezena muda tuu. No leadership, no aim, no real outcome, no coordination. Mara ya amani, mara mapinduzi, mara tunataka nchi yetu mara uhuru, ni utoto utoto tu.
We jamaa ushakuwa brainwashed na Mange kimambiMambo Niajee wakuu, sjawahi post kitu chochote Hapa JF Tangu nimeanza Kuifaham JF Tangu 2012. Turudi kwenye topic hapo Juu. Haya maandamano ya mange kimambi Je Yangekuwa ya kumuunga mkono raisi wangeyakemea kama wanavyokemea sasa hivyi?! Mtukufu raisi anapaniki kwa sababu Gani? Nchi inayumba kiasi ambacho hata mtoto Mdogo anamlaum JPM. Haki yetu kikatiba Iko wapi ya kuandamana? Au jamaa alipaa kwa katiba ya CCM?
*Watanzania Tunaangamia kwa Kupata Raisi ambae Hana maarifa* mange kimambi sasa hivyi anamzidi magufuli kwa umaarufu. Mimi ntaandamana kwenye Kitanda changu Siku ya APRIL 26.