Maandamo makubwa ya makomandoo na silaha nzito Tehran, wabeba majeneza yenye bendera ya Israel, waapa kuwaangamiza mazayuni duniani

Uzalendo wa Kitanzania

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2020
Posts
3,585
Reaction score
8,106
Wadau hamjamboni nyote?

Kumekuchaa kutokea Tehran

Hali ni mbaya kwa mazayuni na wafadhili wao inabidi tuwaombee

Maelfu ya wapiganaji wenye mafungamano na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran waliandamana wakiwa na silaha nzito na magari katika mitaa ya Tehran siku ya Ijumaa wakionyesha utayari wao wa kukabiliana na "matishio."

Gwaride la wanajeshi wa kujitolea wa Basij linakuja baada ya kudhoofika kwa vikundi vya wakala wa Iran vya Hezbollah nchini Lebanon na Hamas huko Gaza, pamoja na kuanguka kwa utawala unaoungwa mkono na Iran wa Bashar al-Assad nchini Syria.

Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:

January 10, 2025

Thousands of fighters march through streets of Tehran in show of force after proxies weakened
By AFP

Today, 3:06 pm

Thousands of fighters affiliated with Iran’s Islamic Revolutionary Guard Corps paraded with heavy weapons and vehicles through the streets of Tehran on Friday showing their readiness to face “threats.”

The parade by paramilitary Basij volunteers comes after the weakening of the Iranian proxy groups Hezbollah in Lebanon and Hamas in Gaza, as well as the fall of the Iran-backed regime of Bashar al-Assad in Syria.

Vehicles mounted with rocket launchers, artillery and naval commandos move through the streets. Fighters in combat gear march on foot with rocket launchers, and black-clad women carried rifles.

Some drag coffins adorned with Israeli flags, as flags of the Hezbollah terror group fly along with Iranian and Palestinian banners.

IRGC commander General Mohammadreza Naghdi singles out Iran’s enemies, the United States and Israel, during the gathering.

The US, he says, was “behind all the misfortune in the Muslim world.”

As for Israel, “If we are able to destroy the Zionist regime and withdraw the American bases in the region, one of our big problems will be resolved,” he says.

Another IRGC commander, General Hassan Hassanzadeh, tells state television that one aim of the rally was to “support the population of Gaza and Palestine.”

“We also want to show that the Basij are ready to confront all threats from enemies of the Islamic revolution,” Hassanzadeh says.
 
Attachments

  • 8155c5c8-c7e0-48ff-97a1-90b305d8195e_16x9_1200x676.jpg
    8155c5c8-c7e0-48ff-97a1-90b305d8195e_16x9_1200x676.jpg
    21.9 KB · Views: 5
Ni zamu ya steering kuingia mzigoni baada ya jeshi lake lote kufutwa

Yetu macho, tuone ikiwa atampiga myahudi au ndio kusema kwa heri ya kuonana Iran
 
Makomando gani wanafanya uchoko wa namna hii! Uigizaji huu sio size ya komandoo. Wajaribu wapate moto wao, Jan 20 Trump anaapishwa kumbuka anaitamani Iran
Trump atakuvunja moyo,hana time na vita huyo
 
Wadau hamjamboni nyote?

Kumekuchaa kutokea Tehran

Hali ni mbaya kwa mazayuni na wafadhili wao inabidi tuwaombee

Maelfu ya wapiganaji wenye mafungamano na Jeshi la Walinzi wa Mapinduzi ya Kiislamu ya Iran waliandamana wakiwa na silaha nzito na magari katika mitaa ya Tehran siku ya Ijumaa wakionyesha utayari wao wa kukabiliana na "matishio."

Gwaride la wanajeshi wa kujitolea wa Basij linakuja baada ya kudhoofika kwa vikundi vya wakala wa Iran vya Hezbollah nchini Lebanon na Hamas huko Gaza, pamoja na kuanguka kwa utawala unaoungwa mkono na Iran wa Bashar al-Assad nchini Syria.

Taarifa kamili hapo chini kwa kimombo:

January 10, 2025

Thousands of fighters march through streets of Tehran in show of force after proxies weakened
By AFP

Today, 3:06 pm

Thousands of fighters affiliated with Iran’s Islamic Revolutionary Guard Corps paraded with heavy weapons and vehicles through the streets of Tehran on Friday showing their readiness to face “threats.”

The parade by paramilitary Basij volunteers comes after the weakening of the Iranian proxy groups Hezbollah in Lebanon and Hamas in Gaza, as well as the fall of the Iran-backed regime of Bashar al-Assad in Syria.

Vehicles mounted with rocket launchers, artillery and naval commandos move through the streets. Fighters in combat gear march on foot with rocket launchers, and black-clad women carried rifles.

Some drag coffins adorned with Israeli flags, as flags of the Hezbollah terror group fly along with Iranian and Palestinian banners.

IRGC commander General Mohammadreza Naghdi singles out Iran’s enemies, the United States and Israel, during the gathering.

The US, he says, was “behind all the misfortune in the Muslim world.”

As for Israel, “If we are able to destroy the Zionist regime and withdraw the American bases in the region, one of our big problems will be resolved,” he says.

Another IRGC commander, General Hassan Hassanzadeh, tells state television that one aim of the rally was to “support the population of Gaza and Palestine.”

“We also want to show that the Basij are ready to confront all threats from wajaribu waone enemies of the Islamic revolution,” Hassanzadeh says.
Kuiva Kwa maharage lazima yarukeruke
 
Hawa watu walichobarikiwa ni hasira tu!
 
Makomando gani wanafanya uchoko wa namna hii! Uigizaji huu sio size ya komandoo. Wajaribu wapate moto wao, Jan 20 Trump anaapishwa kumbuka anaitamani Iran
Trump atafanya nni cha maana ambacho biden alikisahu .. isrel mpka hapo imepewea dollar 32b na macarrier ya kila aina
 
Hawana lolote hao Paramilitary Volunteers yaani wale wanamgambo wa kujitolea kama wale wanaowindaga wauza gongo kule vijijini. Iran wamekosa kabisa kazi na ni taifa la kihuni tu. Bure kabisa.
 
Wakipigwa wanaanza kutusumbua ma-ostadh tumbo wa buza wakitaka tuwatetee.
 
Wafuga Midevu na Majini ni Pasua kichwa akili zao hazijawahi kukaa sawa wanafikiri kwa Maandamano wanaweza kupigana na Israel? Au kwa kuwa ambona Mbwa zake zimeshindwa kazi huko Gaza na Lebanon? Waambie Israel haitishiwi nyau!!!
 
Back
Top Bottom