Maandamo makubwa ya makomandoo na silaha nzito Tehran, wabeba majeneza yenye bendera ya Israel, waapa kuwaangamiza mazayuni duniani

Mkigongwa mje tena muanze kulia lia. Sisi tunaangalia tu. Wale Wayahood. Huwa hawaongei. Na hawana propaganda. Kimya kimya wanawakamata na kuwashenyenta. Kilio mtatoa ninyi.
 
Wangekuwa na uwezo huo, wangewasaidia kenge wenzao wa Hezbollah, Hamas, hao kenge wotewameishaangamizwa, Influence ya Iran, hata Sylvia, imeishamalizwa!
 
Mbona wanaficha sura zao? Makomandoo gani hao?
 
Shida umeandika kishabiki Sana, unawachokoza mashabiki wa taifa teule la Duniani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…