MAANDIKO & UCHAMBUZI WA MASUALA YA BURUDANI ( MZIKI)

Joined
Mar 13, 2019
Posts
1
Reaction score
0
MAFANIKIO YA CHRISTIAN RONALDO NI MAUMIVU MAKALI KWA MAMA YAKE MZAZI. '

Usibishe. Tangu akiwa angali tumboni mwa mama yake mzazi 'Maria Dolores'. Tayari Mwanasoka Bora Ronaldo alisha yaonja maumivu ya kila namna. -

Kabla hata ya kuletwa duniani.Mama yake alisha mkatiatamaa,alimnyanyasa ,alimsengenya,kiufupi Ronaldo alishakosa baraka za mzazi mapema sana.

Huyu huyu Fundi Ronaldo, alimanusura apoteze uhai hata kabla hajauona mwangaza wa Dunia.Nasema haya kwa sababu,Mama yake " Maria Dolores mwaka 2014 aliwahi kukili kuwa, -

Ronaldo hakuwa mtoto aliyehitajika kuwepo Ulimwengu huu kabisa, yaani alikuwa ni " Un wanted bby" -

Amini. Ni Mungu pekee alihakikisha suala la Kumpoteza ronaldo linabaki kuwa ni simulizi tu.Mama wa Ronaldo anasimulia " Nilijaribu kutoa Mimba ya mwanangu mara kadhaa lakini ilishindikana" -

kuonesha alidhamiria hili, hakusita kwenda Hospital lakini ikadunda.akajaribu kwenda kwa waganga akini bado Mungu aligoma kwa namna ya kipekee.

Tunguli zote ziligonga mwamba,Maria alijaribu kunywa Pombe Kali lakini bado Ronaldo alikuwa hai. tumboni Daah.

INGEKUWA VIPI ...?? kama Mission ya kuhakikisha anasepa ingefanikiwa ?? Tunge upata wapi fundi wa Kupachika magoli ?? Trust me, Mafanikio ya Ronaldo ni Maumivu makali kwa Mama yake

Maana Ronaldo ameyafanya mengi mpaka sasa kwenye Soka. :

Imagine.Mama wa Ronaldo anashuhudia mwanae ana ipiga Atletico Madrid Mabao Matatu tena kwa mguu wake. :

Imagine.Anashuhudia mwanae anabeba Ballon D'or,anashuhudia anabeba kiatu cha dhahabu,anabeba tuzo za mfungaji bora. -

Ama kweli,mafanikio ya Ronaldo ni maumivu Makali kwa Mama yake mzazi.
Hivi akifikilia kitendo cha kuitoa mimba ya mwanae ambae anapendwa na dunia nzima,kila timu inatamani angeitolea huduma yake .INGEKUWA VIPI ASINGEKUWEPO ?

#Ronaldo amewahi kusema kuwa ' Mama Unaona nakutunza lakini familia yetu pia inanitegemea,Ingekuwa vipi Ungeniua ? Bibi mkubwa wake hua anasema huishia kucheka tu. -

Huu pia Ni Ujumbe kwa Dada zetu na mama zetu,msivitoe viumbe hivi visivyo na dhambi maana hatujui kesho ndio watakuwa kina messi au Ronaldo wa baadae. -

Ndimi @jeromeadammkaliwao

Nifollow www.Instagram.com/jeromeadammkaliwao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…