Maandiko yameweka wazi Mungu ni mwenye huruma lakini ikifika muda wa hukumu hatumii huruma bali sheria

Maandiko yameweka wazi Mungu ni mwenye huruma lakini ikifika muda wa hukumu hatumii huruma bali sheria

The lighter

Member
Joined
May 1, 2024
Posts
7
Reaction score
6
Ni kweli kwamba maandiko yameweka wazi kwamba Mungu ni mwenye huruma lakini ikifika mahali anafanya hukumu (Maamuzi) katika kujibu maombi ya waja wake, Huruma haitumiki bali SHERIA yake ndio hutumika kama msingi wa HUKUMU zake.

Ombi langu: Tuondoe dhana potofu kwamba Mungu atakuonea huruma katika shida uzipitiazo na atakutoa huko, Never, unless umekidhi vigezo na masharti
 
Mungu huyo ana huruma gani kwa maelfu ya watoto wadogo wanaokufa kila mwaka kwa Vita, magonjwa, njaa?

Watoto wadogo hawa wana hatia na makosa gani?

Mungu huyo kama yupo ni KATILI sana na HANA hata chembe ya huruma.

He is a Murderer God....
IMG-20240131-WA0001.jpg
JamiiForums1832832046.jpg
Screenshot_20231020-132727.jpg
 
Mungu huyo ana huruma gani kwa maelfu ya watoto wadogo wanaokufa kila mwaka kwa Vita, magonjwa, njaa?

Watoto wadogo hawa wana hatia na makosa gani?

Mungu huyo kama yupo ni KATILI sana na HANA hata chembe ya huruma.

He is a Murderer God....View attachment 2981262View attachment 2981264View attachment 2981263
Mungu hutumia mtu/watu ili kusaidia ama kutatua changamoto za wengine,,ndio maana alipotaka kuwaokoa wamisri katika mkono wa Falao alimtuma Musa japo alisema ameshuka na anaenda kuwaokoa lakini mwisho wa siku unamuona ni Musa ndio anaenda kuwaokoa akiwa na Mungu spiritual,,,,,
ili uuone wema wa Mungu inahitaji uwepo wa wanadamu wasafi wa moyo na wenye upendo wa kiungu,,,,hapo utaiona Huruma yake kupitia watu hao,,tofaut na hapo utamuona shetani kupitia watu wake wasio na upendo....
asante
 
kuhusu HATIA iko hivi,,ikiwa wakristo wazaman na wasasa wanashea ahadi ileee aliyopewa Ibrahimu na uzao wake wote(maandiko yanasema walio wa imani hao ndio wana wa ibrahimu) ,,basi ingetokea ibrahimu analaaniwa basi laana ingekua juu yake na uzao wake wote.....
so,,kwa uonavyo wewe unaweza tazama na usione makosa yao ila huwezi jua asili ya kizazi chao kabla yao maana hicho ndio kimebeba hatma ya maisha yao...
 
Back
Top Bottom