The lighter
Member
- May 1, 2024
- 7
- 6
Soma Biblia yako imeweka wazi juu ya hili.Umeongea saa ngapi na Mungu?
Mungu hutumia mtu/watu ili kusaidia ama kutatua changamoto za wengine,,ndio maana alipotaka kuwaokoa wamisri katika mkono wa Falao alimtuma Musa japo alisema ameshuka na anaenda kuwaokoa lakini mwisho wa siku unamuona ni Musa ndio anaenda kuwaokoa akiwa na Mungu spiritual,,,,,Mungu huyo ana huruma gani kwa maelfu ya watoto wadogo wanaokufa kila mwaka kwa Vita, magonjwa, njaa?
Watoto wadogo hawa wana hatia na makosa gani?
Mungu huyo kama yupo ni KATILI sana na HANA hata chembe ya huruma.
He is a Murderer God....View attachment 2981262View attachment 2981264View attachment 2981263
Nani amekwambia kila mtu anasoma Biblia?Soma Biblia yako imeweka wazi juu ya hili.
Una taka voice note ya mazungumzo au video clip kabisa ya mazungumzo yao?Umeongea saa ngapi na Mungu?