Maandishi (fonts) zako pendwa ni zipi?

Maandishi (fonts) zako pendwa ni zipi?

Spartacus boy

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2020
Posts
1,727
Reaction score
3,464
Habari wakuu,

Katika matumizi ya vifaa vya kieletroniki basi huwa kuna style tofauti za maandishi hutumika au huwekwa humo na watengeneza vifaa hivyo.

Ila kwa baadhi ya vifaa hivyo mfano simi za mkononi basi watumiaji huwa na uhuru wa kubadilisha hizo font style.

Mimi binafsi once natumia Android phone na kitu cha kwanza hata navyobadilisha simu kitu cha kwanza huwa ni kubadilisha style.

Font zangu pendwa ni:

A) Gloria Hallelujah.
Hii font naipenda sana maana imekaa kulalia kulia. Huifanya simu yangu kuwa stylish sana.

B) Rosemary
Hii font ni maarufu sana kwa simu na vifaa vya Samsung.

Wewe ni mpenzi wa font zipi?

Screenshot_20241020_103802_com.opera.mini.android.jpg

Screenshot_20241020_103817_com.opera.mini.android.jpg
 
Back
Top Bottom