Spartacus boy JF-Expert Member Joined Sep 22, 2020 Posts 1,727 Reaction score 3,464 Oct 20, 2024 #1 Habari wakuu, Katika matumizi ya vifaa vya kieletroniki basi huwa kuna style tofauti za maandishi hutumika au huwekwa humo na watengeneza vifaa hivyo. Ila kwa baadhi ya vifaa hivyo mfano simi za mkononi basi watumiaji huwa na uhuru wa kubadilisha hizo font style. Mimi binafsi once natumia Android phone na kitu cha kwanza hata navyobadilisha simu kitu cha kwanza huwa ni kubadilisha style. Font zangu pendwa ni: A) Gloria Hallelujah. Hii font naipenda sana maana imekaa kulalia kulia. Huifanya simu yangu kuwa stylish sana. B) Rosemary Hii font ni maarufu sana kwa simu na vifaa vya Samsung. Wewe ni mpenzi wa font zipi?
Habari wakuu, Katika matumizi ya vifaa vya kieletroniki basi huwa kuna style tofauti za maandishi hutumika au huwekwa humo na watengeneza vifaa hivyo. Ila kwa baadhi ya vifaa hivyo mfano simi za mkononi basi watumiaji huwa na uhuru wa kubadilisha hizo font style. Mimi binafsi once natumia Android phone na kitu cha kwanza hata navyobadilisha simu kitu cha kwanza huwa ni kubadilisha style. Font zangu pendwa ni: A) Gloria Hallelujah. Hii font naipenda sana maana imekaa kulalia kulia. Huifanya simu yangu kuwa stylish sana. B) Rosemary Hii font ni maarufu sana kwa simu na vifaa vya Samsung. Wewe ni mpenzi wa font zipi?
Mshana Jr Platinum Member Joined Aug 19, 2012 Posts 301,577 Reaction score 754,412 Oct 20, 2024 #2 Bolded itallics