Baada ya maamuzi ya mahakama nchini wengi wanajiuliza utashi wa mahakama ya Kenya wa kuamua kufutilia mbali matokeo ya urais yaliyompa ushindi Uhuru Kenyatta umetoka wapi?
Jibu ni rahisi tu kuwa, 2007 baada ya uchaguzi Wakenya walilipa gharama.
Ni somo kwetu Watanzania kuwa daraja hilo hatujalivuka. Tutaendelea kuswagwa kama ng'ombe. Haki kumbe ina gharama kubwa.
Kenyans be at peace let freedom and democracy flourish at you because you paid the price.