Maarifa ya kiroho: Karibu tuzungumze tuelimishane

*TULIMPENDA ILA MUNGU KAMPENDA ZAIDI" * 🥺🤣🙌🏿
 
Tanga wana kikalio kinaitwa jamvi la wageni.. Tafsiri yake ni la wageni tuu
Wenye uwezo kidogo waliojaaliwa huwa na chumba cha wageni! Hiki huwa nje ya nyumba ya familia..
Wengine huwa na vyombo vya wageni kabisa
Ni sawa kabisa

Wanasemaga nature ya binadamu ni nishati hivo unaweza kuathirika na nyingine kwa uzuri au kwa ubaya kutegemeana na huyo mtu ndio maana tunatakiwa kusali tukiamka na tukilala ila kujilinda na kuomba ulinzi wa Mungu
 
Wakuu,wakati mwingine ukijihsi sana kuwa unalogwa basi na uchawi hukwijia. Ishi kana kwamba kila kitu kiko sawa,usiwe na hofu juu ya kila kitu,jikubali na milango yako ya mafanikio itafunguka. Kujiwekea masharti ni uoga.
 
Ila vingine havihusiani kabisa na uchawi
 
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…