Maarufu JF mwezi June.

Mimi nahisi ningekuwa 10 bora lakin bahati mbaya imeishia 5 bora.
 
Nadhani nitakuwepo kwenye list ya mwezi wa saba...
Ngoja nianze kutoa machapisho yangu, niliyoyaandaa kwa takribani miaka 2.
 
Ni Kweli kabisa mtoa mada. Nadhani namba sita ningekuwa mimi kwa Ku-view nyuzi zoote!
 
Mkuu shusha nondo asee, bila shaka zitakuboost Uwe baina ya watakaotikisa sana mwezi Julai.
Ndiyo naanza hivi, natafuta demu mkaliii nimtongoze kwanza, ataniboost tu!!

Jimena come this way please...
Nipate umaarufu tutikise mwezi july
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…