and 300
JF-Expert Member
- Jun 27, 2012
- 26,398
- 36,406
1. Ndugu zetu Maasai pale Ngorongoro wanalindwa/kutambuliwa na mikataba ya Kimataifa mfano United Nations Declaration No. 169 on the Rights of Indigenous People - jamii husika inatambulika na kuheshimiwa katika Ardhi Yao ya asili, Mila na tamaduni. Na wanao Uhuru wa kuamua maendeleo yao.
2. Ilitokea Australia hadi sasa Aborigines wanalindwa kwa wivu mkubwa.
3. Ni wakati sasa, Masai walindwe na kuheshimiwa katika Ardhi Yao ya asili.
Pia soma:“Indigenous Peoples” ndio wenye haki ya kuamua wanataka nini kimaendeleo