Naunga mkono hoja1. Ndugu zetu Maasai pale Ngorongoro wanalindwa/kutambuliwa na mikataba ya Kimataifa mfano United Nations Declaration No. 169 on the Rights of Indigenous People - jamii husika inatambulika na kuheshimiwa katika Ardhi Yao ya asili, Mila na tamaduni. Na wanao Uhuru wa kuamua maendeleo yao.
2. Ilitokea Australia hadi sasa Aborigines wanalindwa kwa wivu mkubwa.
3. Ni wakati sasa, Masai walindwe na kuheshimiwa katika Ardhi Yao ya asili.
Pia soma:“Indigenous Peoples” ndio wenye haki ya kuamua wanataka nini kimaendeleo
Hapa nimetoa mfano wa Wamasai na Ngorongoro Yao Tu. Natambua zipo jamii nyingi za asili Tanzania.Kuwafananisha masai kama aborigines hapa Tanzania ni kuwasahau wasonjo,wamangayi na kabila zetu zingine .Anyways masai wanahaki kwenye hili
Uchaguzi 2025 CHADEMA Wana points za kuzungumzia mpaka wachoke.1. Ndugu zetu Maasai pale Ngorongoro wanalindwa/kutambuliwa na mikataba ya Kimataifa mfano United Nations Declaration No. 169 on the Rights of Indigenous People - jamii husika inatambulika na kuheshimiwa katika Ardhi Yao ya asili, Mila na tamaduni. Na wanao Uhuru wa kuamua maendeleo yao.
2. Ilitokea Australia hadi sasa Aborigines wanalindwa kwa wivu mkubwa.
3. Ni wakati sasa, Masai walindwe na kuheshimiwa katika Ardhi Yao ya asili.
Pia soma:“Indigenous Peoples” ndio wenye haki ya kuamua wanataka nini kimaendeleo
Ndio kina nani mkuu?Aborigines