The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 4,118
- 9,864
Kuna watu huwa wanasema maaskofu wanapiga kelele. Wanapinga hiki na hiki, subiri nikwambie, ninavojua hawa jamaa ni intelligent enough. Wanajua in/out zote na huwezi kuwachenga kwa lolote lile.
Na wakishasemea jambo huwa hawarudi mara kwa mara ila wewe mwenyewe utaona matokeo. They never speak twice.
Mara zote ujumbe wao huwa wanapeleka direct kwa mtu muhusika siyo kurusha jiwe gizani. Sasa ni wajibu wako sasa wewe uliyepewa ujumbe huo ushupaze shingo au uwasikilize.
Narudia they are so intelligent tofauti na wengi tunavyofikiria na hakuna aliyapambana nao akashinda.
Nawatakia Dominika Njema