Maaskofu Katoliki: Tunu yetu ya amani nchini imeshambuliwa kutokana na matukio ya watu kutekwa na kuuawa ya hivi karibuni

Influenza

JF-Expert Member
Joined
Jul 1, 2018
Posts
1,509
Reaction score
3,756
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limelaani matukio ya utekaji na mauaji yanayoendelea nchini na kuvitaka vyombo vya dola kutimiza wajibu wake ipasavyo, ili kurudisha heshima ya Tanzania iliyozoeleka ya kuwa ni kisiwa cha amani.

Mbali na hilo, maaskofu hao wamesema viongozi waliopo kwenye nafasi za kusimamia matukio hayo yasitendeke kama: “Hawakuwajibika kwa kadri ya nafasi zao wawajibishwe.”

Huo ni ujumbe TEC uliotolewa leo Jumapili, Septemba 15, 2024 katika Kilele cha Kongamano la tano la Ekaristi Takatifu la Kanisa Katoliki, linalofanyika Uwanja wa Uhuru, jijini Dar es Salaam.

Akisoma ujumbe huo, Makamu wa Rais wa TEC, Askofu Eusebius Alfred Nzigilwa amesema kauli mbiu ya kongamano hilo ni ‘Udugu huponya ulimwengu, sisi sote ni ndugu.’ Amesema kwa miaka mingi Tanzania imekuwa inasifika kama kisiwa cha amani licha ya tofauti za kidini, kikabila na kiitikadi bado umoja ulitawala, lakini kwa hali ilivyo sasa inakwenda tofauti.

Pia soma: Dk. Emmanuel Nchimbi, Mnyika na Tundu Lissu wapandishwa madhabahuni na Padri Dk Charles Kitima

“Matukio yaliyotokea karibuni ya watu kutekwa na hata kuuawa, tunajiuliza nini kimetokea, Taifa letu limekosea wapi je, uongozi na mamlaka husika na vyombo vya ulinzi na usalama vimezidiwa nguvu na maarifa hadi kushindwa kudhibiti hali hii?

“Sisi maaskofu hatuamini kama makundi haya ya kihalifu yana nguvu kuliko vyombo vyetu ya ulinzi na usalama. Hivyo tunaviomba vyombo kutimiza wajibu wake ili kurudisha heshima yetu ya misingi ya udugu na amani,” amesema Nzingilwa ambaye pia ni Askofu Jimbo la Mpanda.

“Tunaungana na watu, taasisi, jumuiya za kimataifa kulaani na kukemea vitendo hivi vya kihalifu na utekaji, tunaunga mkono wito wa viongozi na watu mbalimbali wa kufanyika uchunguzi wa kina na wa haraka ili wale wote waliohusika na matukio hayo wafikishwe mbele ya sheria,” amesema na kuongeza:

“Na ambao hawakuwajibika kwa kadri ya nafasi zao wawajibishwe. Uhai ni zawadi kutoka kwa Mungu, mtu ameumbwa kwa sura na mfano wake mwenyewe. Maisha na utu wa mtu lazima viheshimiwe na kulindwa kwa nguvu zote.”

View attachment 3096372
Akina Nchimi wanajua maana kupanda madhabahuni! uhuni uendelee muone!!!
 
Fumbo la imani, nitailinda imani na ikiwezekana kufa Kwa ajili ya imani, imani thabiti na malezi Kwa vijana yalimchukiza father jekseven, oooohhhh scout, viwawa, ukatukumeni, miksa kushika chetezo ndio zilikua pigo zangu, enzi usemenary ukiwa umekolea
 
Dr Nchimbi, wewe kupandishwa madhabahuni pamoja na watesi wenu, kiimani, siyo jambo dogo. Hicho ni kiapo cha kukubali kusimama na hao wenzako katika kuilinda haki, kwenda kinyume na kiapo hicho, madhabahu ya Mungu, ndiyo itakayoamua, na siyo wanadamu. DR. Nchimba hakikisha unasimama katika haki, na kuitetea kwa nguvu zote, hata kama itagharimu cheo chako.

Asanteni maaskofu wetu kwa kauli iliyonyooka. Tunaomba Mungu Bwana wetu, aendelee kuwajalia hekima na ujasiri katika kuunena ukweli na kuitetea haki maana Yesu Bwana wetu alisema kuwa yeye ni UKWELI na kila aliye wa UKWELI huisikia sauti YAKE. Tukitaka tuwe wake, tuunene ukweli na kutembea katika ukweli.
 
Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limelaani matukio ya utekaji na mauaji yanayoendelea nchini na kuvitaka vyombo vya dola kutimiza wajibu wake ipasavyo, ili kurudisha heshima ya Tanzania iliyozoeleka ya kuwa ni kisiwa cha amani.

Mbali na hilo, maaskofu hao wamesema viongozi waliopo kwenye nafasi za kusimamia matukio hayo yasitendeke kama: “Hawakuwajibika kwa kadri ya nafasi zao wawajibishwe.”

Huo ni ujumbe TEC uliotolewa leo Jumapili, Septemba 15, 2024 katika Kilele cha Kongamano la tano la Ekaristi Takatifu la Kanisa Katoliki, linalofanyika Uwanja wa Uhuru, jijini Dar es Salaam.

Akisoma ujumbe huo, Makamu wa Rais wa TEC, Askofu Eusebius Alfred Nzigilwa amesema kauli mbiu ya kongamano hilo ni ‘Udugu huponya ulimwengu, sisi sote ni ndugu.’ Amesema kwa miaka mingi Tanzania imekuwa inasifika kama kisiwa cha amani licha ya tofauti za kidini, kikabila na kiitikadi bado umoja ulitawala, lakini kwa hali ilivyo sasa inakwenda tofauti.

Pia soma: Dk. Emmanuel Nchimbi, Mnyika na Tundu Lissu wapandishwa madhabahuni na Padri Dk Charles Kitima

“Matukio yaliyotokea karibuni ya watu kutekwa na hata kuuawa, tunajiuliza nini kimetokea, Taifa letu limekosea wapi je, uongozi na mamlaka husika na vyombo vya ulinzi na usalama vimezidiwa nguvu na maarifa hadi kushindwa kudhibiti hali hii?

“Sisi maaskofu hatuamini kama makundi haya ya kihalifu yana nguvu kuliko vyombo vyetu ya ulinzi na usalama. Hivyo tunaviomba vyombo kutimiza wajibu wake ili kurudisha heshima yetu ya misingi ya udugu na amani,” amesema Nzingilwa ambaye pia ni Askofu Jimbo la Mpanda.

“Tunaungana na watu, taasisi, jumuiya za kimataifa kulaani na kukemea vitendo hivi vya kihalifu na utekaji, tunaunga mkono wito wa viongozi na watu mbalimbali wa kufanyika uchunguzi wa kina na wa haraka ili wale wote waliohusika na matukio hayo wafikishwe mbele ya sheria,” amesema na kuongeza:

“Na ambao hawakuwajibika kwa kadri ya nafasi zao wawajibishwe. Uhai ni zawadi kutoka kwa Mungu, mtu ameumbwa kwa sura na mfano wake mwenyewe. Maisha na utu wa mtu lazima viheshimiwe na kulindwa kwa nguvu zote.”

View attachment 3096372
Kabisa mambo ya hovyo sana yanafanywa na CCM.
 
Hayo yamesemwa leo mbele ya Umati Mkubwa wa Wananchi Uwanja wa Uhuru, Kwenye Maadhimisho ya Ekaristi Takatifu.

Askofu Nzigilwa amepigwa na Butwaa kuona Watekaji wakiizidi nguvu serikali.

Zaidi huyu hapa

Screenshot_2024-09-15-15-19-40-1.png
 
Samia alipaswa kuchukua hatua akatujibu yeye ni chura kiziwi
'Chura Kiziwi', lakini mwenye kujua kuwa vitendo hivyo vinavyo lalamikiwa na wananchi ni 'Drama'!

Kiongozi wa namna hiyo kama yeye mwenyewe hahusiki na vitendo hivyo viovu, nani mwingine anayeweza kufanya unyama wa namna hiyo?

Samia, matendo yake yote yanaonyesha ushiriki wake moja kwa moja katika maswala haya.
 
Back
Top Bottom