Uchaguzi 2020 Maaskofu Niwemugizi na Bagonza wanapaswa kumpigia kampeni Lissu hadharani wasijifiche wawe majasiri kama Gwajima! Matendo yao yanaonekana

Yaani unalinganisha takataka gwajima na askofu wa kikatoliki, unajitambua wewe?
 
Msema kweli ni mpenzi wa Mungu sasa nyie wapenda majungu na fitna njia yenu ni jehanam ya moto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…