Dk Turuka anasema madai kwamba wa-pentekoste wamepuuzwa si ya kweli, anadai kwamba wamepitia record zao na hawajapata uthibitisho wa kuwepo mapendekezo yeyote kutoka baraza la maaskofu wa kipentekoste.
ameendelea kwa kusema kwamba kwa ukubwa wa jamii ya wapentekoste Tanzania, hakuna namna yeyote Mh Rais angeacha kuteua mtu kutoka katika mapendekezo yao, iwapo wangekua wamependekeza mtu.
Tukirudi nyuma kidogo, PCT walitoa tamka kali wakisikitishwa na kile walichoita ni kutengwa na serikali baada ya kutorudi jina hata moja kutoka majina waliyopendekeza kuingia kwenye bunge maalum la katiba.
Je, Inawezekana PCT wameamua kutupotosha kwa kusema walipendekeza majina wakati hawakufanya hivyo, kama ndiyo kwa nini wafanye hivo?
Kati ya PCT na serikali, who is more likely to tell lies?