Mababu wa kizungu & vibinti vya kiafrika beach!!!

Mababu wa kizungu & vibinti vya kiafrika beach!!!

M24 Headquarters-Kigali

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2012
Posts
8,199
Reaction score
8,186
Jamani vizee vya kizungu na vibinti vidogo vya kiafrika (wanafunzi wakiwa na uniform) vinatutoa udhu jamani maana kila sehemu wanalambana mate kila sehemu mara wanaanza kunyonyana mishedede hadharani jana nilikuwa whitesands daah kamekuja kazee ka kizungu na kabinti kadogoo keusiii kamevaa t-shirt na skirt ya Makongo Secondari daah wakakaa pembeni yangu bila hata aibu wakaanza kunyonyana mate daah! jamani dada zetu tunajua mnataka hizo dola toka kwa hivyo vizee lakini si mkafanyie chumbani?kwa nna hii nyie wanafunz mkifeli mtamlaumu Dr. Ndalichako???? kutwa mnawinda dola mnasoma saa ngapi?
 
kaka blessings hao wazee wa kizungu imekuwa kero sasa njoo huku Arusha maeneo ya Njiro uone waafrika wanavyouza utu wao kisa dola 100 za wazungu.yaan unakuta mdada kavaa chupi na sidiria anakatiza mtaani na babu wake. hatukatai kuna mapenzi lakini si mtu ujiheshimu?
 
Fanya kilichokupeleka hapo .u cant change the world ndugu yangu japo dunia hii inajaa kwenye kiganja but huwezi kuibadilisha.ukitaka kuona maajabu ya dunia nenda kisiwa cha Bongoyo
 
kaka blessings hao wazee wa kizungu imekuwa kero sasa njoo huku Arusha maeneo ya Njiro uone waafrika wanavyouza utu wao kisa dola 100 za wazungu.yaan unakuta mdada kavaa chupi na sidiria anakatiza mtaani na babu wake. hatukatai kuna mapenzi lakini si mtu ujiheshimu?

Ndio kwenda na wakati huko wanakoita wao, tukisema tunaambiwa tumepitwa na wakati, hatuna jipya. Ndio mambo haya yanayoendelea sasa hivi hapa. Inakera sana hii.

Wakija humu utasikia wengi wao watatetea
 
Back
Top Bottom