Jamani vizee vya kizungu na vibinti vidogo vya kiafrika (wanafunzi wakiwa na uniform) vinatutoa udhu jamani maana kila sehemu wanalambana mate kila sehemu mara wanaanza kunyonyana mishedede hadharani jana nilikuwa whitesands daah kamekuja kazee ka kizungu na kabinti kadogoo keusiii kamevaa t-shirt na skirt ya Makongo Secondari daah wakakaa pembeni yangu bila hata aibu wakaanza kunyonyana mate daah! jamani dada zetu tunajua mnataka hizo dola toka kwa hivyo vizee lakini si mkafanyie chumbani?kwa nna hii nyie wanafunz mkifeli mtamlaumu Dr. Ndalichako???? kutwa mnawinda dola mnasoma saa ngapi?