Mabachela wenzangu, mnapika vyakula gani vya haraka haraka?

Uzi ndo huu sasa ngoja nitulie Nichukue maufundi na kutupia ujuzi kidogo
 
Anadondosha nini?
 
Bwana jana nikapika Beef Strew nilitoa Google huko.

Nilianza kupika saa 8 mchana nikamaliza saa 3 usiku.

Vyombo vyote nimechafua, jiko halitamaniki.

Kuja kupika na wali saa 5 ndio nimekula.

Ila was the best experience aisee sijawahi pika something serious kama jana.

Naishiaga chai, maharage na wali au ugali na dagaa.
 
[emoji2][emoji2]iyo kiboko saa nane had 3 usiku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…