Utanifanyia kitchen party shostiNgariba1 nakuombea mwaka huu uoe sasa na ww !
Utanifanyia kitchen party shosti
seroius mie nitaiandaa !humu wanaojielewa wengi mbona !
Nalendwa ,Heaven Sent ,Shunie etc!yaan itakuwa hatareeeeeeee
Mie muda bado mkuu, Asantee kwa maombiMwaka huu lazima utaingia kwenye kundi la wanandoa maana tunawaombea
waolewaji wapo?Tatizo waoaji hakuna
Ahahaaa utakuwa maidHataree sio kidogo, partying to the fullest!!!🙂