nipo mkuuJamani nakumbusha tumeshaeka vifaa miss natafuta uko wapi moto unaisha
Jamani nakumbusha tumeshaeka vifaa miss natafuta uko wapi moto unaisha
Miss Natafuta unatafutwa huku saa sita ishapita
nasubili siku ya mboga za maboga, kabeji na ugaliiii!!! hapana.
nishaweka jamaniNaona ametuacha kama yesu alivyoacha wanafunzi wake....🙄
Hili somo linapendeza likiongezewa na pichanishaweka jamani
yamekuwa hayo njoo ule napikamiss natafuta huwa nikiona uzi wako moyo huwa unanienda mbio kama jipu limemuona magufuli... Ni PM bs hata nifarijike nafsi
sina wa kunipiga sasaHili somo linapendeza likiongezewa na picha
Hakuna shida tunaeza weka kama maboresho ya darasa lijalo ngoja nianze kulifanyia kazsina wa kunipiga sasa
haida shida darasa lijalo utaongoza weweHakuna shida tunaeza weka kama maboresho ya darasa lijalo ngoja nianze kulifanyia kaz
[emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106] [emoji106]haida shida darasa lijalo utaongoza wewe