Mabadiliko : Bob Wine aajiri Mawakili kutoka Marekani

Mabadiliko : Bob Wine aajiri Mawakili kutoka Marekani

Erythrocyte

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2012
Posts
128,308
Reaction score
245,426
Hii ndio habari inayozunguka hivi sasa huko BBC , hapa kuna malengo mawili moja ni kuongeza nguvu ya mawakili waliopo ili kuishinda serikali ya Uganda pamoja na dikteta Museveni Mahakamani , lakini ya pili ambayo ni Muhimu sana ni KUIFAHAMISHA DUNIA KUHUSU UCHAFU UNAOENDELEA UGANDA.

Mungu mbariki mja wako Bob Wine .
 
Back
Top Bottom