Hii ndio habari inayozunguka hivi sasa huko BBC , hapa kuna malengo mawili moja ni kuongeza nguvu ya mawakili waliopo ili kuishinda serikali ya Uganda pamoja na dikteta Museveni Mahakamani , lakini ya pili ambayo ni Muhimu sana ni KUIFAHAMISHA DUNIA KUHUSU UCHAFU UNAOENDELEA UGANDA.
Mungu mbariki mja wako Bob Wine .