Mabadiliko kwenye baadhi ya maneno ya kiswahili

Mabadiliko kwenye baadhi ya maneno ya kiswahili

mseseve

JF-Expert Member
Joined
Apr 3, 2011
Posts
511
Reaction score
89
BARAZA LA KISWAHILI LIMETANGAZA NA KUTOA UFAFANUZI JUU YA MATUMIZI YA kingamuzi na dijitali...
Maana
Decoder ni kisimbuzi na sio kingamuzi kama ilivyozoeleka kwa wengi
dijitali ni dijiti au a- kidijiti na sio ya kidijitali
 
Back
Top Bottom