mabadiliko mfumo wa elimu

wanajamii wameandaliwa vp kukabiliana na mifumo mipya ya elimu ambapo mpaka hvi sasa wanafunzi kidato cha tano 2013 hawajaanza masomo.
Tutajua tu huko mbele itakuwaje kuhusu hili maana imekuwa kama kawaida kukurupuka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…