Dena
Kama umeninyang'anya maneno mdomoni vile.Inaudhi sana kuona MMU limetekwa nyara na watu wachache wanaomaindiana.Hii inaboa kichizi na kufanya watu tulipotezee hili jukwaa munimu.Kama Mbu vipi mbona hau moderate bana? Ina maana huna meno?
Mods fanyeni la akili kabla hamjapoteza wanachama zaidi JF
AJABU: Thread hii hii imevunja rekodi ya kurudia matapishi yake yenyewe! Kinacholalamikiwa ndicho kimevuma kuliko!
SAFI SANA DENA,
Kumpenda,kumsifia,kumkandia mwanaJF mwenzako mi naona hakuna ubaya ila kuanzisha eti thread ya nampenda mwanaJF fulani naona kama haina maana sana, hatua unayotakiwa kufanya ni kuMP ili huko mwelezane mnavyopendana kwa undani.
Huyo unamwanzia thread kama ameolewa au ameoa inaweza kumletea matatizo ktk familia yake hasa ikiwa mume/mke ana ufahamu mdogo.
Suluhisho ni kuMP.
Pia mgongee THANKS,LIKE NYIIIINGI UWEZAVYO.
Mods tunaomba mwongozo wa hii thread... ni sahihi kumuanzishia thread Member unayemzimia?
You have said it wellNawe ukiona wanafanya hivyo, waPM uwapashe, usianzishe thread kama ulivyofanya sasa. Unakataa nini na unafanya nini? If something is not chewable, ignore it.
Umenisemea maneno yangu kabisa ha ha ha ha
hahahaha jaman nilikua cjafka humu,ningekosa mengi, wengine wanampenda halima Mdee,yani chenga 2pu, wanazingua afu hawamaanishi,wapo fake.m2 anapenda ushauri wa member anataka kutangaza ndoa.Wapendwa habari za jioni.!!!
Hapa kuna kitu nimekigundua JF especially MMU.
Watu tulitoa ushauri wa kuanzishwa jukwaa la kutafuta wachumba maana hizo thread zilizidi sana na kuudhi kwa kiasi fulani hivi. watu wakaelewa na kasi ikapungua kabisa.
Sasa naona kuna jipya limeibuka tena "Namzimia DA", "Naizimia Avatar yake", "Napenda anavyochangangia" nk (Kwa wale waliowahi kunianzishia thread samahani sana mnisamehe sina nia mbaya bali kuwekana sawa)
Jamani kama unampenda mtu, comments, avatar, na mengine mengi yake kindly hebu mtumie PM basi ili kupunguza thread zisizotaka ushauri.
Tuwe na zile za kuombana ushauri na kusaidiana wapendwa katika mahusiano, mapenzi na urafiki .
Samahani kama nimewakwaza wale wote mliowahi kuanzisha thread kama hizi. Ila jamani tuambizane ka ukweli saa nyingine..................
Kind Regards
Dena Amsi
ni kweli kabtha DAMchokozi wewe ha ha ha ha ha
ndugu yangu hata naielewa? Groan bdo cjaisoma kiukweliWe acha tu GROAN umeiona kweli wewe?? Mie washanilambisha kama kumi hivi
Mimi sio MOD Kukatalia au kukubalia nimetoa mawazo yangu tu my dear sio amri................pole kwa kukwaza
Na zile za kumissiana je! maana baada ya kutokuzipenda zile, itakuja mwingine tena hapendi aina fulani ya thread basi kila mtu atasema hapendi nini, mwisho wa siku kila kitu kitakuwa hakipendwi. wahusika wamesikia afadhali, nina imani watapunguza.... ila tu hata kwenye diskashen za QM na QT pia katikati huwa zinawekwa jokes za hapa na pale sio kuwa serious mwanzo mwisho inachosha sana.