Na zile za kumissiana je! maana baada ya kutokuzipenda zile, itakuja mwingine tena hapendi aina fulani ya thread basi kila mtu atasema hapendi nini, mwisho wa siku kila kitu kitakuwa hakipendwi. wahusika wamesikia afadhali, nina imani watapunguza.... ila tu hata kwenye diskashen za QM na QT pia katikati huwa zinawekwa jokes za hapa na pale sio kuwa serious mwanzo mwisho inachosha sana.
japo na wewe nimtazamo wako sipingi mawazo yako ila na mimi nimeweka yakwangu! DA nimekukopia kakipengele na wewe ambako nadhani hujanielewa!!Habari za asubuhi??KK sijui kama umenisoma vizuri nimesema samahani kama kuna ninayemkwaza kwa hili. Pole sana kwa hilo ni mtazamo wangu tu
japo na wewe nimtazamo wako sipingi mawazo yako ila na mimi nimeweka yakwangu! DA nimekukopia kakipengele na wewe ambako nadhani hujanielewa!!Habari za asubuhi??
Nimekusoma vizuri sana.
Habari za asubuhi nzuri sana vipi weewe?? Mzima lakini