Nimekwama kabisaaa. Browser inasema can not find server. Nimefanya yoote hamna kitu. Na sasa nimeingia through Nokia yangu. Nisaidie mkuu Invisible. Ni hili jamvi tu halifunguki, nyingine zote ziko powa. Ukilikosa Jf bana ah unakuwa kama vile sijui nini .